Diamond azungumzia kuhusu ushindi wa ray vanny kwenye BET AWARDS 2017 - INNAPAUL MEDIA

INNAPAUL  MEDIA

WE KEEP THE GOOD MUSIC ALIVE

Breaking

8 Jul 2017

Diamond azungumzia kuhusu ushindi wa ray vanny kwenye BET AWARDS 2017

Mwimbaji staa wa Bongofleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi wake pamoja na ukali wake wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambaye usiku wa June 24, 2017 alitangazwa mshindi wa tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist.
Leo June 25, 2017 Ayo TV na millardayo.com zimempata Diamond Platnumz ambaye anauzungumzia ushindi huo wa Rayvanny.
Video hii ina kila kitu!!!
KAMA ULIIKOSA BASI TAZAMA HI VIDEO, MSANII MPYA WA WCB 





RAY VANNY ALICHOZUNGUMZA BAADA YA KUTAJWA KUAWANIA TUZO ZA BET AWARDS 2017; TAZAMA HAPA CHINI


No comments:

HOME